Jinsi ya kujua deni la gari online

TMS Traffic Check - Jinsi ya kuangalia deni la gari

Tumia ukurasa huu kujua deni la gari yako online - epuka ajali tii sheria.


Ingiza namba ya gari. Mfano T 123 ABC

 

Jinsi ya kulipa deni la traffic

Zifuatazo ni njia za kulipia deni la traffic:

  • Kupitia matawi ya benki:
    • NBC
    • NMB
    • CRDB

  • Kupitia mitandao ya simu Lipa kwa kutumia namba ya kampuni 001001 kisha weka kumbukumbu namba yako iliyopo kwenye TMS au receipt uliyopatiwa

Kwa maelekezo zaidi piga simu namba 0677038217




Maoni: